• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping afanya ziara nchi za Falme za Kiarabu, Senegal, Rwanda na Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2018-07-19 16:04:25
    Rais Xi Jinping wa China ameondoka leo mjini Beijing kuelekea nchi za Falme za Kiarabu, Senegal, Rwanda na Afrika Kusini kwa ziara rasmi ya kiserikali.
    Akiwa nchini Afrika Kusini, rais Xi anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa 10 wa viongozi wa nchi za BRICS utakaofanyika huko Johannesburg. Katika ziara hiyo, rais Xi anaandamana na mke wake Bi. Peng Liyuan, na viongozi kadhaa wa serikali akiwemo mkurugenzi wa Ofisi ya Kamati ya masuala ya mambo ya nje ya kamati kuu ya CPC Bw. Yang Jiechi, na waziri wa mambo ya nje Bw. Wangyi.
    Akiwa njiani kurejea China, rais Xi Jinping anatarajiwa kufanya ziara ya kirafiki nchini Mauritius.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako