• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Simba SC kuondoka Leo kwenda kuweka kambi Uturuki

    (GMT+08:00) 2018-07-20 08:18:44
    Kikosi cha klabu ya Simba ya nchini Tanzania kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam leo kwenda Uturuki kuweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa ligi.

    Wachezaji wote waliosajiliwa msimu huu watasafiri kwa ajili ya kambi hiyo, na ikiwa huko, Simba itacheza mechi kadhaa za kirafiki za kujipima nguvu.

    Kocha mpya wa klabu hiyo Mbelgiji Patrick Winand J. Aussems ataanza kazi ya kuifua klabu hiyo huko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako