• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya vitabu kuhusu masula ya China yafanyika nchini Senegal

    (GMT+08:00) 2018-07-20 16:15:15

    Maonesho ya vitabu kuhusu masuala ya China imefanyika jana kwenye jumba la makumbusho la ustaarabu wa waafrika mjini Dakar, mji mkuu wa Senegal.

    Kwenye maonesho hayo, vitabu 1589 vya aina 310 ambavyo vimetafsiriwa kwa lugha ya Kifaransa vinavyohusu siasa, uchumi na utamaduni wa China kikiwemo "Rais Xi Jinping Azungumzia Utawala wa nchi" vimeoneshwa.

    Mjumbe maalumu wa ofisi ya habari ya Baraza la serikali la China Bw. Zhang Yanbin amesema, kwa kupitia maonesho hayo, wasomaji wa Senegal wanaweza kuelewa zaidi wazo jipya la utawala la kiongozi wa China, amewataka wananchi wa nchi hizo mbili waimarishe maelewano kwa kupitia vitabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako