• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu zaidi ya 11 wauawa katika shambulizi la kujitoa mhanga kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  (GMT+08:00) 2018-07-23 21:00:55

  Watu zaidi ya 11 wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa katika shambulizi la kujitoa mhanga kwenye msikiti mmoja jimboni Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  Watu walionusurika kwenye shambulizi hilo wamesema, mwanamume mmoja aliingia msikiti wakati wa sala ya asubuhi kama waumini wengine na baadaye kulipua mabomu aliyokuwa amevaa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako