• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wawili wauawa na wengine 13 wajeruhiwa kwenye tukio la ufyatuaji risasi Toronto

    (GMT+08:00) 2018-07-24 09:19:06

    Watu wawili wameuawa na wengine 13 wamejeruhiwa baada ya mwanaume mwenye silaha kufyatua risasi kwenye mtaa wenye pilika mjini Toronto, Canada Jumapili usiku. Polisi mjini Toronto wamethibitisha kuwa mshambuliaji ambaye ni mkazi wa Toronto mwenye umri wa miaka 29, alitumia bastola na kurushiana risasi na polisi, kabla ya kuuawa kwa kupigwa risasi. Polisi wanachunguza kama mshukiwa aliuawa na polisi au alijiua. Meya wa Toronto Bw. John Tory amelitaja tukio hilo kuwa ni kitendo , na pia ni ushahidi kuwa hatua kali zaidi za kudhibiti silaha zinahitajika mjini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako