• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi atarajia zama mpya ya kirafiki kati ya China na Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2018-07-24 09:33:40

    Kabla ya kuanza ziara rasmi nchini Afrika Kusini, rais Xi Jinping wa China alitoa makala iitwayo "Kushirikiana Kufungua Zama Mpya ya Kirafiki Kati ya China na Afrika Kusini" kwenye magazeti ya Afrika Kusini.

    Kwenye makala hiyo amesema uhusiano kati ya nchi hizo mbili umepita majaribu ya wakati na mabadiliko ya hali ya kimataifa, na kupiga hatua kubwa.

    Watu kutoka jamii mbalimbali na vyombo vikuu vya habari nchini Afrika Kusini vinaona makala ya rais Xi imeeleza vizuri uhusiano wa wenzi wa kimkakati wa pande zote kati ya Afrika Kusini na China, nchi hizo mbili zitaendelea kuungana mikono katika mchakato wa kutafuta njia ya kujiendeleza inayoendana na hali halisi ya nchi, ili kufungua zama mpya ya kirafiki kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako