• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Nigeria kuhimiza ushirikiano kati ya China na Nigeria kwa kubadilishana sarafu

    (GMT+08:00) 2018-07-24 09:47:53

    First Bank ya Nigeria itatumia vizuri makubaliano ya kubadilishana sarafu kuhimiza ushirikiano na fursa za biashara kati ya pande mbili.

    Mwakilishi mkuu wa benki hiyo Bw. Andy Wang amesema benki hiyo inalenga kuwa daraja la wafanyabiashara wa Nigeria na China kwa kusukuma mbele ushirikiano.

    Bw. Wang amesema ushirikiano huo unaweza kuongeza ufanisi kwenye miamala ya kibiashara, bila kukabiliana na changamoto ya kutafuta sarafu ya nchi nyingine.

    Bw. Wang amesema First Bank ya Nigeria ni moja ya benki zizopewa idhini ya kushughulikia miamala ya sarafu ya Yuan ya China na Naira ya Nigeria, baada ya kufungua tawi lake mjini Beijing miaka kumi iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako