• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Botswana zasaini hati ya maelewano ili kuboresha uhusiano wa kibiashara

    (GMT+08:00) 2018-07-24 10:28:08

    Kituo cha Uwekezaji na Biashara cha Botswana (BITC) na Baraza la kuhimiza biashara ya kimataifa la China (CCPIT) wamesaini hati ya maelewano (MoU) ya kuimarisha uhusiano wa biashara na uwekezaji, kwenye mkutano wa Baraza la Biashara kati ya Botswana na China uliofanyika huko Gaborone, Botswana.

    Balozi wa China nchini Botswana Bw. Zhao Yanbo amesema kanuni ya ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Botswana ni kunufaishana na lengo ni kuboresha maisha ya watu.

    Waziri wa Masuala na Ushirikiano wa Kimataifa wa Botswana Bi. Unity Dow anatarajia kuwa mkutano huo unaweza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Botswana na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako