• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika Kusini yasema maandalizi ya mkutano wa kilele wa BRICS yamekamilika

    (GMT+08:00) 2018-07-24 18:58:58

    Waziri wa Mahusiano na Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini Bi. Lindiwe Sisulu amesema nchi hiyo imekamilisha maandalizi ya mkutano wa 10 wa kilele wa BRICS.

    Mkutano huo utawakutanisha viongozi wa nchi tano wanachama wa kundi hilo ambazo ni Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini ambao watajadili hatua za kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili dunia.

    Marais kutoka nchi kadhaa za Afrika pia wamealikwa kuhudhuria majadiliano chini ya mfumo wa ushirikiano na nje wa BRICS.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako