• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hali mbaya ya hewa iliyoendelea hivi karibuni ni matokeo ya mabadiliko ya tabianchi

    (GMT+08:00) 2018-07-25 09:37:59

    Shirika la Hali ya Hewa Duniani WMO limesema joto kali na mvua kubwa zimeshuhudiwa hivi karibuni kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, hali ambayo imeendana na mkondo wa jumla wa muda mrefu kutokana na kuongezeka kwa utoaji wa gesi zinazoweza kusababisha ongezeko la joto. Hali mbaya ya hewa, ikiwemo joto kali, ukame na mvua zinazosababisha majanga imeshuhudiwa katika nusu ya kwanza ya majira ya joto ya maeneo ya kaskazini ya Ikweta na kuwa na athari mbaya kwa afya ya binadamu, kilimo, mfumo wa ikolojia, miundombinu na kusababisha moto mkubwa wa msituni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako