• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zambia kuhudhuria mkutano wa kilele wa BRICS

    (GMT+08:00) 2018-07-26 19:19:50

    Rais Edgar Lungu wa Zambia anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa kilele wa kundi la nchi za Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini (BRICS) unaofanyika nchini Afrika Kusini.

    Waziri wa mambo ya nje wa Zambia Joseph Malanji amesema, akiwa nchini Afrika Kusini, rais Lungu anatarajiwa kufanya mazungumzo ya pande mbili na rais Vladmir Putin wa Russia na rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako