• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Vigezo vigumu kufuatwa kwa wafanyikazi wa kigeni nchini

    (GMT+08:00) 2018-07-26 19:41:40
    Wafanyikiza kutoka nchi za nje wanaowasili nchini Kenya kuajiriwa ama kufanya kuongoza kampuni mbali mbali watatkiwa kufuata sheria zote za kupata leseni za kazi.

    Wizara ya ushauri wa nchi za kigeni na ile ya biashara na viwnda zimetakiwa kuendelea kukagua ofisi zote za wafanyikiazi wan je ili kudhibitisha vyetu vyao vya kazi .

    Hatua hii inajiri baada ya Rais Uhuru Kenyatta kusema kuwa serikali itadumisha masharti makali katika utoaji wa leseni na kuongeza muda wa leseni hizo kwa wafanyakazi kutoka nje.

    Rais alisema mashariti makali yamewekewa utoaji wa leseni za kazi baada ya serikali kugundua kwamba walaghai wamekuwa wakitumia vibaya fursa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako