• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Russia wakutana Johannesburg

    (GMT+08:00) 2018-07-27 06:25:53

    Rais Xi Jinping wa China jana alikutana na mwenzake wa Russia Vladimir Putin mjini Johannesburg, Afrika Kusini, ambako walibadilishana kwa kina maoni kuhusu hali ya sasa ya kimataifa.

    Viongozi hao walifanya mazungumzo kando ya mkutano wa kilele wa 10 wa viongozi wa nchi za BRICS, ambapo pia walijadiliana kuhusu masuala muhimu wanayofuatilia kwa pamoja.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako