• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Enock Atta Agyei aitwa kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana (20), kinachowania kufuzu kushiriki Fainali za Afrika mwakani

    (GMT+08:00) 2018-07-27 10:23:10
    Winga Enock Atta Agyei anayekipiga katika klabu ya Azam Fc, ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana (20), kinachowania kufuzu kushiriki Fainali za Afrika chini ya miaka 20 (AFCON) mwakani. Mtandao wa Ghana Soccer.net, ndio ulitoa taarifa za mchezaji huyo kuitwa katika kikosi hicho cha vijana na iliandikwa kwamba atatua nchini humo Ijumaa ili kujiunga na wenzake kuweza kujiandaa na mchezo dhidi ya Benin. Hata hivyo mchezaji huyo alikiri kwamba amepokea taarifa hiyo vizuri na yupo mbioni kutimka kuelekea kwao Ghana ili kujiunga na wenzake.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako