• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la juu la bunge la Marekani lapitisha muswada wa kupunguza ushuru wa forodha wa bidhaa zaidi ya 1000 zinazoagizwa kutoka nje

    (GMT+08:00) 2018-07-28 15:47:29

    Baraza la juu la bunge la Marekani juzi limepitisha muswada wa kupunguza ushuru wa forodha wa bidhaa 1660 zinazoagizwa kutoka nje, ambazo ni pamoja na maliasili na vifaa vinavyohitajika na kampuni ya utengenezaji ya Marekani. Shirika la habari la Reuters limechambua kuwa, zaidi ya asilimia 50 ya bidhaa hizo zinatengenezwa na China.

    Wabunge wa Marekani wamesema, muswada huo ni matokeo ya vyama viwili vya siasa nchini Marekani, na lengo lake ni kuongeza nguvu ya ushindani ya wafanyabiashara wa Marekani duniani.

      

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako