• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya kijeshi ya kimataifa ya mwaka 2018 yaanza rasmi huko Korla

    (GMT+08:00) 2018-07-30 08:48:51

    Mashindano ya kijeshi ya kimataifa ya mwaka 2018 yaliyoandaliwa na Jeshi la ardhi la China yameanza rasmi huko Korla mkoani Xinjiang, China.

    Vikosi 17 vya ardhi kutoka nchi 10 zikiwemo China, Russia, Misri, Iran na Zimbabwe, vitashindana ustadi wa kijeshi kwenye mashindano hayo yaliyoanza jana hadi tarehe 11 Agosti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako