• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mbio za Baiskeli, Ufaransa 2018: Geraint Thomas ashinda ubingwa wa Tour de France

    (GMT+08:00) 2018-07-30 11:10:41

    Mwingereza Geraint Thomas wa timu ya Sky, ameshinda ubingwa wa mbio maarufu za baiskeli duniani za Ufaransa (Tour de France) kwa mwaka huu, baada ya kujikusainyia takwimu za juu kwenye mashindano hayo ya siku 21 katika umbali wa kilomita 3,351.

    Mwendesha baiskeli mwingine kutoka timu ya Sky, Chris Froome alishika nafasi ya tatu katika ushindi wa jumla nyuma ya mholanzi Tom Dumolin wa timu ya Sunweb aliyeibuka mshindi wa pili.

    Katika siku ya mwisho ya mbio hizo, Alexander Kristoff wa Norway alishinda nafasi ya kwanza katika umbali wa kilomita 116, kutoka mji wa Houilles hadi Paris.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako