• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia yailaumu Marekani kukataa kushiriki kwenye mazungumzo ya Syria huko Sochi

    (GMT+08:00) 2018-07-31 08:59:33

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Russia Bibi Maria Zakharova ameilaumu Marekani kukataa kushiriki kwenye duru ya kumi ya mazungumzo ya kimataifa kuhusu suala la Syria yaliyofanyika huko Sochi.

    Bibi Zakharova amesema kukataa huko kunalenga kushusha umuhimu wa mchakato wa Astana, na kuharibu sifa ya juhudi za upatanishi za kimataifa kuhusu suala la Syria, ambazo Marekani imeshindwa kuziweka chini ya udhibiti wake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako