• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Magendo yasababishia Kenya hasara ya dola milioni 20

    (GMT+08:00) 2018-07-31 19:54:24

    Kufungwa kwa mpaka kati ya Kenya na Somalia katika eneo la Mandera kunaisababishia Kenya hasara ya dola milioni 20 kwa mwaka kutokna na kutolipwa kwa ushuru wa bidhaa.

    Sasa wafanya biashara wamekuwa wakitumia maeneo mengine yasio rasmi kupitisha bidhaa feki na kuingiza nchini Kenya.

    Ofisi za Mamlaka ya ushuru nchini Kenya na shirika la kukadiria ubora wa bidhaa KEBS zimefungwa hasa kutokana na ukosefu wa usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako