• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya na Ethiopia zapeleka wanariadha wengi zaidi wa Mashariki

  (GMT+08:00) 2018-08-01 11:20:39

  Katika wa Afrika Mashariki, Ethiopia na Kenya ndiyo mataifa yaliyopeleka wanariadha wengi zaidi wanaokwenda kushiriki michuano ya ubingwa wa Afrika kwa mwaka huu, Ethiopia ikitoa 64, na Kenya ikitoa 61.

  Jumla kuu ya wanariadha kutoka Afrika Mashariki ni 157, Uganda imepeleka wanariadha 20, Tanzania na Somalia zikiwa na idadi ya wanariadha watano kila moja.

  Rwanda pia imetoa wanariadha wawili kwa ajili ya michuano hiyo inayoanza rasmi leo mjini Asaba nchini Nigeria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako