• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatimaye Le Bron James atimiza ndoto za kusaidia watoto wenye uhitaji

    (GMT+08:00) 2018-08-02 08:34:21
    Mwanakikapu maarufu duniani kwa sasa kutoka nchini Marekani Le Bron James, amezindua rasmi shule aliyoijenga nyumbani kwao Ohio nchini Marekani.

    Kupitia taasisi yake binafsi ya Le Bron James, nyota huyo mpya wa La Lakers ameanza kuchukua wanafunzi 240 katika shule hiyo iitwayo I Promise School. Ni shule ambayo wanasoma watoto waishio kwenye mazingira magumu, mchezaji huyo amesema pia atatoa nafasi kwa wazazi wa watoto hao kupata elimu ya juu kwenye shule hiyo.

    Shule hiyo itatoa usafiri na chakula bure kwa wanafunzi hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako