• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Nigeria achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa ECOWAS

    (GMT+08:00) 2018-08-02 19:22:34

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS).

    Rais Buhari anachukua nafasi hiyo kutoka kwa rais Faure Gnassingbe wa Togo, katika mkutano wa kawaida wa 53 wa wakuu wa nchi wanachama wa ECOWAS uliofanyika Lome, Togo.

    Mwenyekiti huyo mpya wa ECOWAS amepanga kufanya kazi katika maeneo ya amani, usalama, utawala bora, na maendeleo ya uchumi na jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako