• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu Kenya (KPL): Gor Mahia yajikita kileleni

    (GMT+08:00) 2018-08-03 08:57:11

    Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya nchini Kenya (KPL) timu ya Gor Mahia wiki hii wameendeleza ubabe wao wa kukaa kileleni mwa ligi hiyo baada ya kuwatandika Kariobangi Sharks goli 3-0 kwenye uwanja wa Moi mjini Kisumu.

    Kocha wa mabingwa hao Dylan Kerr, alifanya mabadiliko makubwa kwa kikosi kilichocheza dhidi ya Yanga SC mjini Dar es Salaam Jumapili katika mechi ya kuwania ubingwa wa Kombe la shirikisho barani Afrika (CAF) ambapo walishinda 3-2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako