• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FIFA yamruhusu Saido Berahino kuichezea Burundi

    (GMT+08:00) 2018-08-03 08:58:08
    Mshambuliaji wa klabu ya Stoke City nchini Uingereza Saido Berahino rasmi kuchezea timu ya taifa ya Burundi baada ya shirikisho la soka duniani (FIFA) kumpatia ruhusa kulichezea taifa hilo alikozaliwa.

    Berahino mwenye umri wa miaka 24 alichezea kila umri katika timu ya Uingereza kuanzia umri wa miaka 16 hadi 21 kati ya 2009 na 2015.

    ana uwezo wa kuichezea Burundi ambao mara ya kwanza waliulizia uwepo wake mwezi machi 2015.

    Saido sasa yuko tayari kucheza mechi yake ya kwanza ya kufuzu dhidi ya Gabon katika mechi ya kombe la bara Afrika mwezi ujao baada ya shirikisho la soka nchini Burundi FA kutangaza habari hizo katika mtandao wa twitter.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako