• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UAE yaukosoa Umoja wa Ulaya kwa kutotenda haki katika mashambulizi ya anga katika mji wa Hodeidah, nchini Yemen

    (GMT+08:00) 2018-08-06 09:36:47

    Waziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Bw. Anwar Gargash ameukosoa Umoja wa Ulaya kwa kutotenda haki katika kueleza hali katika mji wa bandari wa Hodeidah, nchini Yemen.

    Amesema taarifa ya pamoja iliyotolewa na mwakilishi wa ngazi juu wa Umoja wa Ulaya kuhusu mambo ya nje na sera ya usalama na kamishna wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia msaada wa kibinadamu na usimamizi wa mgogoro Christos Stylianides ilishindwa kuwalaani wapiganaji wa kundi la Houthi kwa kuvunja hali ya kibinadamu, haswa kufuatia uhalifu wa kulenga hospitali na soko la samaki katika mashambulizi hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako