• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahindi ya bei ya chini kutoka Uganda kunyima wakulima mapato mazuri

    (GMT+08:00) 2018-08-06 19:04:11

    Serikali imeonyesha wasiswasi kwa kuingia kwa mahindi ya bei nafuu kutoka nchini jirani Uganda, ambayo inaonekana kuharibu bei ya nafaka kabla ya mavuno.

    Wafanyabiashara wameongeza uagizaji kutoka Uganda na biashara ya mpakani inatarajiwa kuongezeka huku, bei ya mahindi katika nchi jirani ikishuka hadi Sh16 kwa kilo ikilinganishwa na Kenya ambayo ni Sh51.47

    Licha ya uagizaji kusaidia kupungua gharama ya unga wa mahindi, mapato ya wakulima itashuka chini.

    Mkurungenzi mkuu wa Baraza la nafaka Afrika Mashariki (EAGC) Gerald Masila amesema kuongezeka kwa usambazaji wa mahindi kutoka nchi jirani utasaidia kuongeza usalama wa chakula nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako