• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, Usajili wa Wachezaji: Chelsea yaanza mawindo ya golikipa mpya

  (GMT+08:00) 2018-08-08 09:44:40

  Baada ya kukubaliana na uamuzi wa golikipa wake Thibout Cortious kuondoka, inaelezwa kuwa klabu ya Chelsea imeanza mazungumzo na klabu ya Athletic Bilbao kwa ajili ya kumnunua kipa wake Kepa Arrizabalaga mwenye umri wa miaka 23.

  Endapo dili litafanikiwa, Chelsea watalazimika kulipa ada ambayo itakuwa ni rekodi ya dunia ya kununua golikipa ambapo watatoa pauni milioni 71.6.

  Chelsea inafungua ligi msimu huu kwa kucheza na Huddersfield siku ya jumamosi, hivyo kitendo cha kipa wake kugoma kuendelea nayo kitailazimu kutafuta mbadala.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako