• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan na Misri zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiusalama

    (GMT+08:00) 2018-08-08 10:14:27

    Sudan na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na kudhibiti kwa pamoja maeneo ya mpaka na kupambana na ugaidi. Kikao cha mazungumzo ya kijeshi ya pamoja kilifanyika katika Wizara ya Ulinzi ya Sudan, na kuhudhuriwa na mkuu wa majeshi ya Sudan Kamal abdul-Marouf na mwenzake wa Misri Mahmoud Hegazy. Bw. Abdul-Marouf amesema usalama ni suala la kimkakati ambalo ni msingi wa ujenzi wa uhusiano wa kisiasa na kiuchumi, na kuongeza kuwa kuna hitaji la kujenga uhusiano wa kiwenzi na wazi katika ushirikiano wa kijeshi katika nchi za kiarabu na kiafrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako