• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kasi ya mwendo wa treni kati ya Beijing na Tianjin yafikia 350 km kwa saa

    (GMT+08:00) 2018-08-08 20:58:38

    China leo imeongeza kasi ya treni ya mwendo kasi kati ya Beijing na Tianjin na kufikia kilomita 350 kwa saa, hivyo kupunguza muda wa safari kati ya miji hiyo miwili kwa dakika tano.

    Tawi la Beijing la Kampuni ya reli ya China limesema, treni hizo zimeanza kufuata ratiba mpya kuanzia leo, huku safari za kila siku zikiongezeka kutoka 217 kwa njia moja mpaka 272.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako