• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makundi matatu yenye silaha jimboni Darfur yasimamisha uhasimu kwa miezi mitatu

    (GMT+08:00) 2018-08-09 09:20:50

    Makundi matatu yenye silaha jimboni Darfur, Sudan yametangaza kuongeza muda wa kusimamisha uhasama kwa miezi mitatu. Taarifa iliyotolewa na kundi la SLM la Minni Minnawi, la JEM na Baraza la Mpito la SLM imesema uamuzi huu unalenga kuwalinda raia, kuhakikisha misaada ya kibinadamu inawafikia bila tatizo watu wanaoathirika na vita, na kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya mazungumzo ya amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako