• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mali yafanya uchaguzi wa duru ya pili

    (GMT+08:00) 2018-08-13 09:12:50

    Mali imefanya duru ya pili ya uchaguzi, kumchagua rais mpya kati ya rais wa sasa Ibrahim Boubacar Keita na mpinzani wake Bw. Soumaïla Cissé.

    Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi ya Mali, matokeo ya awali ya upigaji kura huo yanatarajiwa kutolewa kesho, na matokeo rasmi ya mwisho yatatangazwa baada ya kupitishwa na mahakama ya katiba ya Mali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako