• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Ujerumani: Bayern Munich yashinda mechi ya Super Cup

    (GMT+08:00) 2018-08-13 10:11:32

    Mabingwa wa msimu uliopita wa ligi kuu ya soka nchini Ujerumani, timu ya Bayern Munich jana wameshinda ubingwa wa kombe maalum la ufunguzi wa msimu mpya wa ligi (German Super Cup) kwa kuifunga magoli 5-0 timu ya Eintracht Frankfurt.

    Katika mechi hiyo mchezaji wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski alifunga magoli 3 kati ya magoli 5 ya ushindi waliopata Bayern, huku mengine mawili yakifungwa na Kingslay Coman na Thiago Alcantara waliofunga moja kila mmoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako