• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama tawala cha Afrika Kusini chakanusha kufanya mpango wa kuokoa benki yenye matatizo

    (GMT+08:00) 2018-08-14 09:35:40

    Chama tawala cha Afrika Kusini ANC kimekanusha ripoti kuhusu kufanya mpango wa kuokoa benki ya VBS Mutual inayoathiriwa na msukosuko mkubwa wa benki nchini humo tangu mwaka 2014.

    Msemaji wa chama cha ANC Bw. Pule Mabe amesema, maofisa wa chama hicho wamefuatilia ripoti za vyombo vya habari kuhusu mkutano utakaofanyika kujadili mpango wa kuokoa benki ya VBS Mutual.

    Habari kutoka Gazeti la City Press zinasema uongozi wa juu wa chama cha ANC umezindua jaribio la kisiasa la kuiokoa benki ya VBS mutual isifilisike.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako