• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MISRI: Mashabiki wa soka kuanza kuingia uwanjani Misri

  (GMT+08:00) 2018-08-16 09:35:21

  Waziri wa michezo wa Misri Ashraf Sobhy ametangaza kuruhusu mashabiki wa kandanda kuingia uwanjani katika michezo ya ligi ya nchini Misri. Ruksa hiyo ikiwa ni mara ya kwanza toka mwaka 2012.

  Mashabiki wa kandanda walifungiwa kuingia uwanjani toka mwezi Februari 2012 baada ya mashabiki 74 wa Al Aly kufariki.

  Wapenda soka wataanza kuingia viwanjani kuanzia tarehe 1, ya mwezi ujao na Waziri huyo wa michezo amesema watazamaji hawatakiwi kuzidi 5000 katika kila mchezo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako