• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FOCAC yatajwa kuwa utendaji bora wa Ushirikiano wa Kusini na Kusini

    (GMT+08:00) 2018-08-17 10:04:53

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia Bw. Meles Alemjana amesema, Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC ni utendaji bora wa ushirikiano wa Kusini na Kusini. Amesema tangu mwaka 2000 baraza hilo lilipoanzishwa, ushirikiano kati ya Afrika na China katika siasa, uchumi, elimu na sekta nyingine umeendelezwa kwa kasi.

    Ameongeza kuwa, Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika limekuwa baraza muhimu la kuimarisha ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi kati ya nchi za Afrika na China, na utaratibu muhimu wa ushirikiano kati ya China na Afrika.

    Anaona katika siku za usoni, baraza hilo litaendelea kuwa njia muhimu ya mawasiliano kati ya Afrika na China, na mkutano wa kilele wa FOCAC utakaofanyika mwezi ujao mjini Beijing pia ni jukwaa zuri la ushirikiano wa Kusini na Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako