• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa kilele wa FOCAC kufanyika tarehe 3 na tarehe 4 Septemba mjini Beijing

    (GMT+08:00) 2018-08-20 15:50:44

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo ametangaza kuwa, mkutano wa kilele wa mwaka 2018 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC utafanyika tarehe 3 na tarehe 4 Septemba mjini Beijing. Kauli mbiu ya mkutano huo ni "ushirikiano wa kunufaishana, kushirikiana kujenga jumuiya ya mustakbali wa pamoja wa China na Afrika ya karibu zaidi".

    Bw. Lu Kang pia amesema kuwa, rais Xi Jinping wa China ataendesha mkutano huo na shughuli nyingi zinazohusiana na mkutano huo . Viongozi wa nchi wanachama wa FOCAC wa Afrika wataalikwa kuhudhuria mkutano huo, na wajumbe kutoka mashirika ya Afrika na ya kimataifa watahudhuria shughuli husika za mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako