• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda Bei ya Mfuko wa mahindi inaendelea kuenda chini na kufikia Ush 20, 000

    (GMT+08:00) 2018-08-20 19:18:01

    Bei ya Mfuko wa mahindi inaendelea kuenda chini na kufikia Ush 20, 000 ya Uganda sawa na ($ 5.3).

    Uganda haina nyumba za kuhifadhi nafaka nchini kote na zile ambazo ziko ni za kibajbmkgjkjnfsi.

    Kilimo ni miongoni mwa sekta muhimu zinazotarajiwa kutoa Uganda kwa hali ya kipato cha kati ifikapo mwaka wa 2020.

    Mchango wa Kilimo kwa Pato la Taifa uliongezeka hadi Ush trilioni 3.2 ($ 858) katika robo ya kwanza ya 2018, kutoka Ush trilioni 3.1 ($ 828.5 milioni) katika robo ya nne ya 2017.

    Lakini hata kama bei ya chakula imeendelea kushuka, mfumuko wa bei uliongezeka kutoka asilimia 2.1 mwezi Juni hadi asilimia 3.1 kila mwaka mwezi Julai, kulingana na takwimu za hivi karibuni za Benki ya Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako