• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Zaidi ya abiria 7,000 waagiza tiketi za KQ kwenda New York

    (GMT+08:00) 2018-08-21 21:06:09

    Zaidi ya abiria 7,000 wameagiza tiketi za huduma za kusafiri moja kwa moja kwa shirika la Kenya Airways kati ya Nairobi na New York.

    Safarai za shirika hilo zinatarajiwa kuzinduliwa baadaye mwezi Oktoba.

    Mkuu wa mauzo kwenye shirika hilo, Julius Thairu, amesema tayari asilimia 80 ya safari ya kwanza imelipiwa.

    Nauli ya chini kwenye safari ya kwanza ni dola 732 kwenda na kurudi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako