• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwakilishi maalumu wa rais Xi Jinping wa China kushiriki kwenye sherehe ya kuapishwa kwa rais mpya wa Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2018-08-25 17:02:11
    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo hapa Beijing ametangaza kuwa, kutokana na mwaliko wa rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, mwakilishi maalumu wa rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China Bw. Su Hui atakwenda Harare na kushiriki kwenye sherehe ya kuapishwa kwa rais Mnangagwa itakaoyofanyika kesho tarehe 26 Agosti.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako