• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kitabu kiitwacho "Kwenda Bara la Afrika" chatolewa

    (GMT+08:00) 2018-08-26 20:40:19

    Mkutano wa kilele wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika utafanyika tarehe 3 na 4 mwezi Septemba mjini Beijing. Kabla ya kufunguliwa kwa mkutano huo, kitabu kiitwacho "Kwenda Bara la Afrika" kimetolewa leo hapa Beijing, ambacho kinalenga kuwajulisha wachina hali mbalimbali za Afrika na kuimarisha urafiki kati ya wananchi wa China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako