• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, Ligi Kuu Tanzania Bara: Kagere aendelea kuifaa Simba

  (GMT+08:00) 2018-08-28 09:52:28

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda Meddy Kagere ameendelea kuthibitisha ubora na gharama ya thamani yake ndani ya klabu simba baada ya jana kufunga magoli mawili na ya pekee iliyopata Simba kwenye mechi yao ya pili katika msimu huu wa ligi kuu soka Tanzania Bara dhidi ya timu ya Mbeya City.

  Kama haitoshi Kagere ndiye aliyefunga goli moja la ushindi na pekee timu hiyo iliposhinda mechi yake ya kwanza dhidi ya timu ya Prisons.

  Simba sasa imefanikiwa kujikusanyia pointi zote sita katika mechi mbili ilizocheza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako