• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Sierra Leone zaahidi kuendeleza uhusiano wa pande mbili

    (GMT+08:00) 2018-08-30 21:14:51

    Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na rais Julius Maada Bio wa Sierra Leone hapa Beijing, na viongozi hao wamekubaliana kuendeleza zaidi uhusiano wa kina wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo.

    Rais Bio yuko kwenye ziara ya kiserikali hapa China na anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utakaofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao hapa Beijing.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako