• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Luka Modric anyakua mchezaji bora, Ronaldo mshambuliaji bora

  (GMT+08:00) 2018-08-31 08:33:39

  Kiungo wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ulaya akiwafunika Mo Salah wa Liverpool na Christiano Ronaldo wa Juventus.

  Kipa wa Real Madrid Kyles Navas ametwaa tuzo ya golikipa bora wa michuano ya UEFA msimu wa mwaka 2017/2018. Huku beki kisiki wa Real Madrid, Sergio Ramos ametwaa tuzo ya beki bora.

  Aidha Christiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mshambuliaji bora huku mkongwe David Beckham akipokea tuzo ya heshima kutokana na mchango wake katika soka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako