• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Ghana, Afrika Kusini na Jamhuri ya Kongo kufanya ziara nchini China

    (GMT+08:00) 2018-08-31 10:35:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Lu Kang leo ametangaza kuwa kutokana na mwaliko wa rais Xi Jinping wa China, marais Nana Akufo-Addo wa Ghana, Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, rais Denis Sassou-Nguesso wa Jamhuri ya Kongo watahudhuria mkutano wa kilele wa Beijing wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC na wanafanya ziara nchini China kuanzia leo hadi tarehe 9, Septemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako