• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Botswana wafikia maoni ya pamoja kuhusu kuhimiza uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    (GMT+08:00) 2018-08-31 16:29:40
    Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana. Rais Xi ameisifu serikali ya Botswana kwa kuimarisha urafiki na ushirikiano na China, na kuzitaka nchi hizo mbili ziimarishe uaminifu, kuzidisha ushirikiano, na kusukuma mbele uhusiano kati yao. Rais Masisi amesema, Botswana inapenda kuiga uzoefu wa China kwenye kukuza uchumi na kupunguza umaskini. Amesema China ni nguvu muhimu ya jumuiya ya kimataifa, pia ni mwenzi muhimu wa nchi zinazoendelea. Botswana inaunga mkono pendekezo la Ukanda Mmoja na Njia Moja, pia itafanya juhudi kupanua ushirikiano kati ya nchi hizo mbili chini ya mfumo wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako