• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Cameroon wakutana

    (GMT+08:00) 2018-08-31 18:38:03
    Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amekutana na rais Paul Biya wa Cameroon.

    Rais Xi amesema, China inapenda kuimarisha ushirikiano na Cameroon kwenye ujenzi wa miundombinu chini ya mfumo wa ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja na Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), na kuisaidia Cameroon kuhimiza utandawazi wa viwanda na wa kisasa. Rais Xi pia amesema China inaiunga mkono Cameroon kuimarisha uwezo wa kulinda amani na utulivu.

    Rais Biya amesema mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ni fursa muhimu kwa maendeleo ya pamoja ya nchi za Afrika na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako