• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FOCAC yaongeza wanachama 3 wapya

    (GMT+08:00) 2018-09-02 18:37:16

    Mjumbe wa taifa wa China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi leo ametangaza kuwa, Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC limeongeza wanachama 3 wapya, ambao ni nchi za Gambia, Sao Tome and Principe na Burkina Faso.

    Bw. Wang Yi amesema kuwa, kujiunga kwa nchi hizo tatu kutaimarisha zaidi nguvu ya FOCAC, kutaongeza nguvu ya urafiki kati ya China na Afika, na kutia nishati mpya kwa ushirikiano kati ya China na Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako