• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi akutana na katibu mkuu wa UM

    (GMT+08:00) 2018-09-03 09:16:57

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres kabla ya mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika unaofanyika hapa Beijing. Rais Xi ameutaja Umoja wa Mataifa kuwa bendera ya mfumo wa pande nying. Amesema dunia ina mahitaji makubwa zaidi ya mfumo wa pande nyingi na Umoja wa Mataifa wenye nguvu kuliko zamani, wakati hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara zinaongezeka na kuharibu utaratibu wa kimataifa na mfumo wa usimamizi wa ulimwengu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako