• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Ukraine awasilisha rasimu wa sheria bungeni kuhusu matarajio ya kujiunga na Shirika la NATO na Umoja wa Ulaya

  (GMT+08:00) 2018-09-04 10:31:34

  Rais Petro Poroshenko wa Ukraine amewasilisha rasimu ya sheria bungeni itakayowekwa kwenye katiba kuhusu matarajio ya nchi hiyo kujiunga na Shirika la NATO na Umoja wa Ulaya. Mwakilishi wa rais bungeni Bibi Iryna Lutsenko ametoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii ikisema, rasimu hiyo ya sheria inalenga kurekebisha utangulizi wa katiba, vipengele vitatu na kanuni za mpito.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako