• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzia, baada ya kifo cha bingwa wa marathon

    (GMT+08:00) 2018-09-05 09:59:24

    Bingwa wa zamani wa kimataifa wa mbio za marathon za mwaka 1998 Paul Koech amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.

    Koech alifikwa na mauti akiwa katika hospitali ya Nairobi baada ya kulalamika maumivu ya kichwa.

    Chama cha riadha nchini Kenya kimetangaza kifo chake na kumtangaza kuwa Koech alikuwa ni mpenda riadha na alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana kulitumikia taifa lake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako